2 Samuel 2:16

16 aKisha kila mtu akakamatana na mpinzani wake kichwani na kuchomana kwa upanga, nao wakaanguka chini pamoja. Kwa hiyo mahali pale katika Gibeoni pakaitwa Helkath-Hasurimu.
Helkath-Hasurimu maana yake Uwanja wa Mapambano.


Copyright information for SwhNEN